Rais Ruto awahimiza wenye viwanda nchini kushirikiana na serikali ili kuimarisha uzalishaji

  • | K24 Video
    113 views

    Rais William Ruto amewahimiza wenye viwanda nchini kushirikiana na serikali ili kuimarisha uzalishaji. Ruto alitofautiana na chama cha watengenezaji bidhaa kwa kuupinga mswada wa fedha, akisema kuwa sheria inayopendekezwa itawapa wawekezaji wa ndani marupurupu. aidha ruto ametupilia mbali hoja ya kuchukua mikopo ili kulipa madeni ya nchi na kusema kuwa kenya italazimika kuongeza mapato ya ushuru.