- 1,543 viewsDuration: 2:22Rais William Ruto amewakashifu wapinzani wake akiwalaumu kwa kuendeleza porojo kuhusu miradi ya serikali bila suluhu yoyote. Akizuru kaunti ya kilifi leo, Rais Ruto amesema serikali yake haina nafasi na upinzani na kuwa inazidi kutekeleza ahadi walizotoa kwa wakenya.