Rais Ruto awakosoa wanaopinga mswada wa fedha na kuwataka kutoingiza siasa katika suala hilo

  • | KBC Video
    50 views

    Rais William Ruto amewakosoa wale wanaopinga mswada wa fedha wa mwaka 2023, akiwarai kutoingiza siasa katika suala hilo. Akiongea kwenye hafla ya 20 ya maombi ya kitaifa jijini Nairobi, Ruto alitoa wito wa uhakiki huru wa mapendekezo ya mswada huo bila kuzingatia maslahi ya kibinafsi ya kisiasa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini #financebill2023