Rais Ruto awarejesha mawaziri 6 waliotimuliwa na mawaziri 5 wapya wateuliwa

  • | NTV Video
    520 views

    Hatua ya Rais William Ruto kuwarejesha baadhi ya mawaziri waliokuwa wamekataliwa na raia sasa kunalirejesha bunge la kitaifa kwenye mizani majuma machache baada ya balaa belua za mswaada wa fedha. Sita kati ya watu kumi na mmoja waliotajwa leo hii, walikuwa kwenye baraza la mawaziri lililotimuliwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya