Rais Ruto awasili eneo la Vipingo, Kilifi kuzindua rasmi kongamano la kibiashara la kimataifa

  • | NTV Video
    394 views

    Rais William Ruto amewasili eneo la vipingo, kaunti ya Kilifi kuzindua rasmi kongamano la kibiashara la kimataifa huku akitarajiwa kuzindua tawi la ustawi ambalo litawezesha wawekezaji kupata stakabadhi za uwekezaji kwa wepesi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya