Rais Ruto awasili nchini Uhispania kisha ataelekea Uingereza kwa ziara rasmi

  • | KBC Video
    50 views

    Rais William Ruto amewasili nchini Uhispania kisha ataelekea nchini Uingereza kwa ziara rasmi. Kiongozi wa taifa anatarajiwa kuandaa mashauriano ya ngazi ya juu yanayodhamiriwa kupiga jeki uhusiano wa kibiashara na kuimarisha wajibu wa Kenya katika masuala ya kiuchumi duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive