Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto awasuta wanaokosoa kuhusika kwake kwenye mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    738 views
    Duration: 2:41
    Rais William Ruto amewapuzilia mbali wale wanaokosoa kuhusika kwake moja kwa moja katika uendelezaji wa mradi wa NYOTA kote nchini. Rais Ruto, ambaye aliongoza hafla ya usambazaji pesa kwa vijana kwenye kaunti za Mandera na Wajir, alisema mradi huo ni wenye manufaa na kwamba unanuiwa kubadilisha maisha ya vijana wa humu nchini huku vijana elfu-120 wakiwa wamenufaika kupitia mradi huo kufikia sasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive