Rais Ruto awasuta wanasiasa wa upinzani kwa kuendeleza siasa za ukabila

  • | Citizen TV
    2,722 views

    Rais: Komesheni Ukabila

    Rais Ruto amewasuta wanasiasa wa upinzani

    Anasema wanaendelea siasa za kugawanya nchi

    Ameendelea kutetea ushirikiano wake na Odinga