Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto azindua awamu ya pili ya mradi wa NYOTA jijini Eldoret,

  • | KBC Video
    487 views
    Duration: 4:21
    Zaidi ya wafanyabiashara 9500 chipukizi wamenufaika kutokana na mpango wa NYOTA kati ya vijana elfu- 88 waliowasilisha maombi katika kaunti sita. Akizungumza alipozindua awamu ya pili ya mradi huo jijini Eldoret, rais William Ruto alisema kuwa wale ambao maombi yao yalikubaliwa wanaotoka kwenye kaunti sita wamepokea shilingi elfu-22 zilizowekwa kwenye akaunti zao za NYOTA za simu za mkononi pamoja na shilingi elfu-3 zinazowekwa kwenye akaunti zao za akiba ya NSSF. Na jinsi mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anavyotuarifu pesa zilizosambazwa leo zilitolewa kwa kaunti za Uasin Gishu, Elgeyo Marakwet, Nandi, Trans-Nzoia, Turkana, na Pokot magharibi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive