- 5,171 viewsDuration: 3:22Rais William Ruto amezindua rasmi ujenzi wa reli ya SGR kutoka Naivasha hadi Malaba kupitia Kisumu, kwenye mradi utakaoigharimu serikali shillingi Billioni 500. Hafla ya uzinduzi ilifanyika eneo la Emurtoto Narok Mashariki ambako rais amesema kuwa ujenzi huo utakaochukua miaka miwili utawafaidi pakubwa wakenya katika usafirishaji wa mizigo na usafiri.