Rais Ruto azuru kaunti ya Migori, atetea serikali jumuishi

  • | KBC Video
    1,693 views

    Rais William Ruto amesisitiza ahadi yake ya kuimarisha serikali ya pamoja kupitia mpango wa serikali jumuishi. Uhakikisho wa Rais wa kuendesha serikali yenye usawa na uadilifu unawadia huku kukiwa na ongezeko la uasi kwenye mapatano ya kisiasa kati ya UDA na ODM. Kama Wycliffe Oketch anavyoripoti kutoka Migori, kiongozi wa taifa hata hivyo alionya kwamba mpangilio huo mpya wa serikali sio njia ya ushindani, bali ni fursa ya ushirikiano kwa ukuaji wa taifa nzima kwa ujumla.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive