Rais Ruto hajali kejeli

  • | Citizen TV
    8,076 views

    Rais William Ruto sasa ameonekana kukumbatia kejeli za kupinga uongozi wake, huku kwenye hafla tofauti akiimba nyimbo tofauti za kumkejeli ukiwemo wimbo wa kasongo. Akiwa katika kaunti ya kwale kwenye hafla ya mashujaa, rais ruto alianguka nayo kuashiria mbinu mpya ya kukabiliana na upinzani dhidi yake.