Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto: Hakuna Mkenya ataachwa nyuma kwenye ustawi wa taifa

  • | KBC Video
    69 views
    Duration: 3:16
    Rais William Ruto ameeleza imani na uthabiti wa uongozi wake akitoa wito kwa wakenya kushirikiana na kujiepusha na wale wanaoeneza siasa za migawanyiko. Rais Ruto alisema serikali, kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na sera ,madhubuti, inaangazia kulibadilisha taifa kupitia rasilimali zake na kuliweka kwenye ramani ya dunia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive