Rais Ruto kuwateuwa Mwenyekiti na Makamishna wa IEBC

  • | Citizen TV
    630 views

    Rais William Ruto anasubiriwa kuwateua na kuwasilisha majina ya anaopendekeza kuwa Mwenyekiti na Makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka - IEBC.