Rais Ruto na Gavana Sakaja waahidi kusaidia walioathiriwa na mkasa wa moto Kibra

  • | Citizen TV
    1,893 views

    Mkasa Wa Moto Kibra:

    Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi wafika leo

    Watu 8 walifariki kufuatia moto uliotokea jana

    Jamaa waliowapoteza wapendwa wasimulia masaibu

    Serikali yaahidi msaada kwa waathiriwa kuanza upya