Rais Ruto na Museveni watia saini makubaliano ya kutatua mzozo wa kisiwa cha Migingo

  • | Citizen TV
    368 views

    RAIS WILLIAM RUTO NA MWENZAKE WA UGANDA YOWERI MUSEVENI WAMETIA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KUTATUA MZOZO KUHUSU UMULIKI WA KISIWA CHA MIGINGO. MARAIS HAWA WAWILI WAKISEMA WAMEKUWA NA MAKUBALIANO KUHUSU NAMNA YA KUTUMIA RASILMALI ZA KISIWA HICHO KWA AMANI.