18 Aug 2025 1:08 pm | Citizen TV 18,626 views Duration: 2:53 Rais William Ruto na kinara wa ODM Raila Odinga wamefanya mkutano wa pamoja na wabunge wa ODM na UDA kujadili mwafaka wa kutekeleza maelewano na serikali.