Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto na Rigathi Gachagua waendeleza siasa za kupakana tope

  • | Citizen TV
    21,671 views
    Duration: 3:01
    Rais William Ruto na kinara wa DCP Rigathi Gachagua wameendelea kukaidi wito wa kuweka kando siasa za kupakana tope na badala yake viongozi hao wameendelea siasa hizo ambazo sasa zimegeuka pambio. Rais Ruto akiendelea kuwakashifu viongozi wa upinzani kwa kile amekitaja kuwa kukosa ajenda ya kisiasa na kumfanya yeye ajenda yao kila siku.