- 18,697 viewsDuration: 5:18Katika mojawapo ya siasa za kupakana tope nchini, viongozi wakuu wa kisiasa leo waliamua kuvuana nguo hadharani, wakirushiana cheche za lugha chafu na matusi makali. Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua wakiongoza msururu wa matusi ambayo hayajawahi kushuhudiwa kwenye historia ya ofisi kuu nchini. Jioni ya leo, tunakuletea matamshi ya viongozi hawa pasi na kuhariri maneno yao.