Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto na upinzani watukanana hadharani matusi ya cheche kali na kukoseana heshima

  • | Citizen TV
    7,680 views
    Duration: 5:31
    Katika mojawapo ya siasa za kupakana tope nchini, viongozi wakuu wa kisiasa waliamua kuvuana nguo hadharani, wakirushiana cheche za lugha chafu na matusi makali. Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua wakiongoza msururu wa matusi ambayo hayajawahi kushuhudiwa kwenye historia ya ofisi kuu nchini. tunakuletea matamshi ya viongozi hawa pasi na kuhariri maneno yao.