- 220 views
Serikali imetenga shilingi bilioni 4 kwa ajili malipo kwa wafanyabiashara wanaowasilisha vifaa vya ujenzi vinavyotumika katika mradi wa nyumba za bei nafuu. Rais William Ruto amesema malipo hayo na fursa za ajira zinazopatikana katika miradi 75 ya nyumba hizo kote nchini, ni ishara ya kujitolea kwa serikali katika kukabiliana na umaskini humu nchini. Rais aliyasema haya wakati alipoongoza wakenya katika kusherehekea sikukuu ya mashujaa ya mwaka huu iliyoandaliwa katika kaunti ya Kwale.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Rais Ruto: Serikali imetenga billioni 4 kuwalipa wafanyibiashara katika nyumba za gharama nafuu
- - Duniani Leo ››
- 14 Jul 2025 - The two leaders command a solid support base key in determining the presidential contest.
- 14 Jul 2025 - How trigger-happy police officers conceal evidence that incriminates them
- 14 Jul 2025 - I'm not the dad: Man wants name removed from birth certificate
- 14 Jul 2025 - Missed vaccination risks a child's life as eradicated diseases return
- 14 Jul 2025 - Ruto's multiple problems and why they are not likely to fizzle out soon
- 14 Jul 2025 - Missing bullets in demo victims spark questions
- 14 Jul 2025 - Syphilis infections rise sharply with women most hit
- 14 Jul 2025 - With IEBC in place, country prepares for mini elections
- 14 Jul 2025 - Why State has resorted to terrorism charges
- 14 Jul 2025 - Kenya's exports brace for Sh13b blow as Trump tariffs resume