Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia aendeleza mikutano na viongozi wakuu Urusi. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    26,251 views
    Duration: 28:10
    Wizara ya mambo ya kigeni ya Tanzania imewahakikishia raia wa nchi hiyo kwamba uhusiano kati ya taifa hilo na Umoja wa Ulaya uko imara. Haya yanajiri siku moja baada ya kamati za bunge la umoja wa Ulaya kupigia kura hoja ya ushirikiano wa kimaendeleo kati yake na Tanzania. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw