- 16,177 viewsDuration: 1:26“Tumezungumza na Rais Ruto jinsi ya kudeal na hawa watoto wetu watovu wa adabu” - Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ameshauriana na mgeni wake Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mbinu za kukabiliana na wanaharakati wa haki za kibinadamu aliowaita’watovu wa adabu’ - - #tanzania #kenya #williamruto #samiasuluhuhassan #genzSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw