Rais Suluhu Hassan: Sisi sio tu majirani ila ni marafiki na ndugu

  • | Citizen TV
    Rais Samia Suluhu Hassan: Sisi sio tu majirani ila ni marafiki na ndugu…Kenya inashika nafasi ya tano katika uwekezaji nchini Tanzania…Imewekeza miradi 513… Kuna kampuni za Tanzania 30 zilizowekeza Kenya. Nimeweka hadi kwamba Tanzania itakuja kwa nguvu sana hapa Kenya kuwekeza