Rais Suluhu Hassan: Tumekubaliana kushughulikia vikwazo visivyo vya kodi

  • | Citizen TV
    Rais Samia Suluhu Hassan: Kwa lengo la kukuza biashara, tumekubaliana kushughulikia vikwazo visivyo vya kodi… Mawaziri wetu wa afya waweke mikakati kuangalia mambo ya Corona kwa haraka, ili biashara ziendelee