Rais Suluhu Hassan: Tumezungumza kuhusu bomba la kusafirishia gesi

  • | Citizen TV
    Rais Samia Suluhu Hassan: Tumezungumza kuhusu bomba la kusafirishia gesi… Tuhimizane kulipa madeni kwa jumuiya ya Afrika Mashariki…Tunamwalika Rais Kenyatta awe mgeni wetu rasmi tukiadhimisha miaka 60 ya uhuru wetu