- 2,746 viewsRais wa Marekani Donald Trump ameungana na taifa katika kumbukumbu ya Mwezi wa Historia ya Watu Weusi kwa kuandaa hafla White House akiwa na mcheza golf maarufu Tiger Woods. Wakati wa hafla hiyo Alhamisi, Trump alitoa hotuba ambapo alipongeza “vizazi vya watu Weusi, mabingwa, wapiganaji na wazalendo, ambao wamekuwa na jukumu kubwa katika kuinyanyua historia ya taifa hili na kutangaza kuweka bustani yenye sanamu za watu weusi kama vile Harriet Tubman, Rosa Parks, Aretha Franklin, Coretta Scott King. “Tutatengeneza baadhi ya kazi nzuri sana za sanaa katika mfano wa sanamu ya wanaume kama Frederick Douglass, Booker T Washington, Jackie Robinson … Martin Luther King Jr., Muhammad Ali … na marehemu Kobe Bryant,” Trump alisema. _ AP #trump #blackhistorymonth #voa
Rais Trump ajiandaa kuwaenzi kizazi cha watu weusi mabingwa
- - Duniani Leo ››
- - Local news roundup ››
- 16 Jun 2025 - Assassination of Kasipul MP Ong’ondo Were, death of teacher Albert Ojwang’ and ODM’s internal rebellion have shaken the foundation of Ruto-Raila pact.
- 16 Jun 2025 - More than 100,000 small businesses across the country will benefit from a KSh5 billion grant to boost the enterprises, President William Ruto has announced. The President said the government, in partnership with the World Bank, will provide KSh50,000 to…
- 16 Jun 2025 - Many investigations into police killings in Nakuru have stalled, allegedly due to interference or lack of political will.
- 16 Jun 2025 - President Ruto has accused opposition politicians of lacking a national development agenda.
- 16 Jun 2025 - Hidden knife in the Finance Bill that stabs firms
- 16 Jun 2025 - Security budget balloons while justice starves and protesters bleed
- 16 Jun 2025 - Police explanation of Ojwang's death comes from a familiar past script
- 16 Jun 2025 - Manufacturers warn new rules on alcohol will hurt production
- 16 Jun 2025 - The silent STI threat: Why unseen infections are a growing concern
- 16 Jun 2025 - Cancer took my health, heartbreak everything else: Leah Wanjiru's silent battle