Rais Uhuru apokea stakabadhi za mabalozi wapya nchini

  • | KBC Video
    Rais Uhuru Kenyatta amekariri umuhimu wa mataifa kushirikiana kwa manufaa ya watu wote. Akizungumza alipopokea stakabadhi za mabalozi wapya hapa nchini, rais alisema kupitia ushirikiano na umoja wa kimataifa, mataifa yatakuwa na uwezo wa kuwahudumia watu wake vyema zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive