Rais Uhuru azindua rasmi kongamano la kimataifa la majiji ya bara la Afrika mjini Kisumu

  • | K24 Video
    81 views

    Serikali itaanzisha uboreshaji wa miundombinu katika miji midogo hapa nchini. Hayo yamesemwa leo na rais Uhuru Kenyatta akifungua rasmi kongamano la kimataifa la majiji ya bara la Afrika mjini Kiisumu.