Rais Uhuru Kenyatta aahidi kuboresha bei ya chai nchini

  • | Citizen TV
    Rais Uhuru Kenyatta ameamrisha wizara ya fedha kutoa zaidi ya shilingi bilioni sita kwa minajili ya kuwaokoa wakulima wa maziwa, majani chai na kahawa. Katika hotuba yake, rais amesisitiza kuwa sharti matakwa haya kutekelezwa na waziri mpya wa wizara ya kilimo peter munya.