Rais Uhuru Kenyatta afungua rasmi uwanja wa Nyayo uliokarabatiwa

  • | Citizen TV
    Rais Uhuru Kenyatta afungua rasmi uwanja wa Nyayo uliokarabatiwa Rais asisitiza kuwa uwanja wa Nyayo utatumiwa kwa michazo pekee Rais aanzisha mbio za ufunguzi wa uwanja wa Nyayo, Nairobi Uwanja huo sasa unaweza kuchezewa kandanda, raga na riadha Uwanja wa Nyayo ulifungwa kwa miaka minne ili kupisha ukarabati