Rais Uhuru Kenyatta amekutana na waakilishi wa Africa na eneo la Caribbean

  • | KBC Video
    Rais Uhuru Kenyatta leo amekutana na waakilishi wa Africa na eneo la Caribbean katika baraza la usalama la umoja wa mataifa katika ikulu ya Mombasa.Wakati huo huo,kiongozi wa taifa pia amefahamishwa kuhusu hatua iliyopigwa na waakilishi hao kuhusu usalama barani afrika katika baraza hilo la usalama.Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya