Rais Uhuru Kenyatta amemuenzi marehemu mbunge wa Juja Francis Waititu kwa kuwa kiongozi mzalendo

  • | KBC Video
    Rais Uhuru Kenyatta amemuenzi marehemu mbunge wa Juja Francis Munyua Waititu kuwa kiongozi mzalendo ambaye alijitoa mhanga kuwahudumia watu wote bila kubagua.Akiwahutubia waombolezaji wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu waititu iliyoandaliwa katika uwanja wa chuo kikuu cha kilimo na teknolojia cha jomo kenyatta JKUAT) juja katika kaunty ya KiambuKiongozi wa taifa aliwataka viongozi wengine waige mfano wa marehemu mbunge huyo kwa kuinua hali ya misha ya watu wa maeneo bunge yao badala ya kujihusisha na siasa za maneno matupu Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive