Rais Uhuru Kenyatta apongeza juhudi za pamoja na jamii ya kimataifa katika kukabiliana na Covid-19

  • | KBC Video
    12 views

    Akiongea wakati wa kongamano la 75 la shirika la afya duniani huko Geneva nchini Uswizi ,kiongozi wa taifa pia aliwapongeza wahudumu wa afya kwa kujitolea kukabiliana na mssambao wa ugonjwa huo.Rais Kenyatta alitoa wito wa uwekezaji zaidi katika sekta ya afya katika kukabiliana na maradhi kama yale ya malaria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #UhuruKenyatta #Kenya #Switzerland #Covid19