Rais wa Afrika Kusini ashutumu Israel katika Mkutano wa BRICS

  • | VOA Swahili
    5,311 views
    Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa aishutumu Israel kwa uhalifu wa kivita na mauaji huko Gaza. Ramaphosa alisema alipokuwa akiongoza mkutano wa kilele wa BRICS. Pretoria inaandaa mkutano wa BRICS unaolenga kupata majibu ya pamoja kwa mzozo wa Israel na Hamas.