- 2,101 viewsRais wa Chad akutana na kiongozi mpya wa kijeshi wa Niger, mjini Niamey. Ziara hii ilikuwa baada ya kiongozi huo wa Chad kuhudhuria mkutano wa ECOWAS mjini Abuja. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kwa muhtasari yaliyojiri katika mkutano huo. #Niger #Nijer #coup #MohamedBazoum #Bazoum #AmadouAbdramane #voa #voaswahili #niamey #russia #bendera - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Rais wa Chad akutana na kiongozi mpya wa kijeshi Niger
- - LIVE|| TV47 WIKENDI ››
- 2 Jun 2024 - Kirinyaga Governor Anne Waiguru has urged Kenyans in the Mt. Kenya region to shun tribal politics and instead rally behind President William Ruto’s government.
- 2 Jun 2024 - Police in Changamwe, Mombasa County, are hunting for a man accused of stabbing his 24-year-old daughter to death on Saturday evening.
- 2 Jun 2024 - Analysts say it is difficult to envisage a stable arrangement under this scenario, and South Africa could be facing a period of unprecedented government volatility.
- 2 Jun 2024 - China landed an uncrewed spacecraft on the far side of the moon on Sunday, overcoming a key hurdle in its landmark mission to retrieve the world's first rock and soil samples from the dark lunar hemisphere.
- 2 Jun 2024 - The ANC remains the largest party despite the damage done by an upstart rival led by former President Jacob Zuma, and is therefore expected to retain the presidency.
- 2 Jun 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has allayed security fears surrounding the deployment of 1000 Kenyan police officers to Haiti.
- 2 Jun 2024 - High Court judge Nixon Sifuna ruled that the funds shall be frozen for 90 days.
- 2 Jun 2024 - 'They must find work': Germany pushes jobs for Ukraine refugees
- 2 Jun 2024 - Russian mercenary Prigozhin's statue unveiled at his grave
- 2 Jun 2024 - 'No alternative': Ramaphosa's S. Africa future hangs in the balance