Rais wa FIFA Infantino avutiwa na Uwanja wa Talanta, asema utaiweka Kenya kwenye ramani ya dunia

  • | Citizen TV
    1,159 views

    Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino ameeleza kufurahishwa na maendeleo ya uwanja wa talanta utakaoiweka kenya kwenye ramani nzuri ya dunia kuelekea AFCON 2027