Rais wa Kenya akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, aahidi kutuma kikosi cha usalama Haiti

  • | VOA Swahili
    2,520 views
    Rais wa Kenya William Ruto amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken na kuahidi kutuma kikosi cha usalama nchini Haiti. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari #rais #kenya #waziri #mamboyanje #kikosichausalama #haiti