Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Kenya William Ruto asema adui wa Kenya na Tanzania ni umaskini

  • | BBC Swahili
    3,258 views
    Duration: 7:48
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Kenya na Tanzania kushirikiana kwa karibu kukabiliana na kile alichokitaja kuwa ni uanaharakati unaovuruga utulivu, akihimiza hatua madhubuti dhidi ya watu aliowatuhumu kutumia demokrasia kuchochea machafuko. Lakini Rais wa Kenya William Ruto amemjibu akisema adui wa Kenya na Tanzania ni umaskini na ukosefu wa ajira. #DiraYaDuniaTV