Rais wa marekani, Joe Biden ajiondoa katika uwaniaji wa urais wa Marekani

  • | TV 47
    204 views

    Rais wa marekani, Joe Biden, hatimaye ametangaza kusitisha azma yake ya kugombea urais tena. Hii inafuatia wiki kadhaa za wito kutoka ndani ya chama cha Kidemokrasia kumtaka Biden kujiondoa, baada ya mdahalo na mpinzani wa chama cha Republican, Donald Trump.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __