Rais wa Marekani na viongozi wengine watembelea bandari ya Lobito Angola
Biden akiwa ameandamana na mwenyeji wake Rais João Lourenço, Rais wa Zambia Hakainde Hichilema na Makamu Rais wa Tanzania Philip Mpango akitembelea mradi wa ujenzi wa reli ya Lobito, ambapo Marekani na washirika wake wakuu wanaufadhili.
Reli hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 13,000 kutoka Zambia hadi Angola kupitia Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo.
Viongozi hao vile vile wamekutana na wawakilishi wa makampuni yatakayofaidika na mradi huo ikiwemo ya mawasiliano inayoimarisha huduma zake katika eneo hilo, kampuni ya uzalishaji chakula na kampuni ya Pennyslvania inayotengeneza vyuma vya kujenga madaraja, yenye mkataba wa kuwasilisha vifaa vyake nchini Angola.
#biden #us #angola #luanda #voa #rais #marekani #reli #lobito #pennyslvania #voa #voaswahili
5 May 2025
- More than 70 fans were injured from the incident at the Gusii Stadium.
4 May 2025
- Kenya has been at the forefront of battling gangs in Haiti.
4 May 2025
- Kenya Kwanza allies have been on the offensive against retired President Uhuru Kenyatta.
5 May 2025
- Deceased was brutally murdered as her two young daughters slept in an adjacent room.
5 May 2025
- The RSF seized the massive camp in April following days of shelling, drone attacks and ground assaults.
5 May 2025
- More than 70 fans were injured from the incident at the Gusii Stadium.
5 May 2025
- From Ruto pledge to enhance fund, to Treasury's decision to slash it - woman reps prepare protest.
5 May 2025
- Uasu terms looming layoffs a violation of the Collective Bargaining Agreement.
5 May 2025
- Emotional eulogies, political divides mark tributes to Kasipul MP
5 May 2025
- From prestigious to perilous: How Vice Chancellor post lost its lustre
5 May 2025
- Why cardiovascular disease is no longer an older adult's problem
5 May 2025
- Blood of post-election, Gen Z protests' victims is crying for justice
5 May 2025
- The 12 minutes call that sparked a mother's hope for son's return