Rais wa riadha duniani asema Kiptum alikuwa na nidhamu

  • | Citizen TV
    444 views

    Rais wa riadha duniani Sebastian Coe aliwaongoza wanariadhi kote duniani kumpa mkono wa buriani mwendazake kelvin kiptum. Coe alimtaja Kiptum kama mwanariadha aliyeshiriki mbio za dunia kwa ustadi bila kuvunja kanuni zilizowekwa. Rais wa riadha nchini Jackson Tuewei kwa upande wake amesema taifa limempoteza shujaa aliyepeperusha bendera ya kenya ulimwenguni.