Rais wa Tanzania awaasa viongozi wakuu kusimamia maadili

  • | BBC Swahili
    1,611 views
    "Wanapopenyeza huku chini kutuharibia, tuone haya si ya kawaida, Ndugu zangu sio ya kawaida, haya mambo yamekatazwa kwenye vitabu vya dini,na Waafrika tuna utamaduni wetu" Rais Samia aliyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala wa mikoa, Kibaha mkoani Pwani. #bbcswahilileo #tanzania #maadili #utamaduni Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw