Skip to main content
Skip to main content

Rais wa Urusi akataa ombi la mwenzake wa Ukraine, la kufanya mazungumzo ya ana kwa ana.

  • | BBC Swahili
    7,023 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema haoni maana ya kukutana na Volodymyr Zelenskyy, na anadhani kwamba ukraine inataka mazungumzo ili kusimamisha mashambulizi ya kijeshi nchini humo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw