Rais wa zamani wa Tanzania Kikwete akiwasili Umoja wa Mataifa kuhudhuria kikao

  • | VOA Swahili
    198 views
    Rais wa zamani wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani kuhudhuria mikutano ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 19, 2023. Picha na mwandishi wetu Idd Ligongo #voaunga #unga78 #raiswazamani #jakayamrishokikwete #tanzania - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.