Rais William Ruto aanza rasmi ziara yake rasmi ya Narok na Kajiado

  • | Citizen TV
    4,596 views

    Haya yakijiri, Rais William Ruto ameanza rasmi ziara yake rasmi hii leo Kusini mwa Bonde la Ufa kuanzia kaunti ya Narok, ambapo ameendelea kuahidi kuimarisha maendeleo eneo hilo