Rais William Ruto adai hatakubali kulazimishiwa kuigawanya serikali na Azimio

  • | West TV
    253 views
    Rais Dkt William Ruto katika hafla ya kuadhimisha siku kuu ya wafanyikazi nchini, amesisitiza kuwa kamwe hataruhusu maandamano ya mrengo pinzani ya Azimio kumlazimishia kuigawanya serikali yake