Rais William Ruto adai kuwa ameimarisha uchumi iliyokuwa ikielekea kuporomoka

  • | West TV
    134 views
    Huku wakenya wakiendelea kukabiliana na hali ngumu ya maisha na uchumi, rais william ruto ametangaza kwamba serikali yake ya kenya kwanza imedhibiti uchumi wa taifa hili ipaswavyo na kuliondoa katika tishio la kuporomoka kwa uchumi.