Rais William Ruto afungua kiwanda cha Devki kwale

  • | Citizen TV
    237 views

    Rais William Ruto ameahidi kufufua na kulinda viwanda vya humu nchini ili kuuongeza uzalishaji wa bidhaa pamoja na kubuni nafasi za kazi. Akiongea wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza vyuma cha Devki huko kinango kaunti ya Kwale Rais Ruto alisikitishwa na hali ya kupungua kwa mapato ya viwanda nchini.