Rais William Ruto ahudhuria mkutano wa usalama Burundi

  • | Citizen TV
    452 views

    Rais William Ruto hii leo ameungana na marais wa mataifa ya Afrika mashariki nchini Burundi kutathmini hali ya usalama katika mpaka wa Congo.